Posts

Showing posts from April, 2017

HII NDIO ORODHA YA WATUMISHI WA UMMA WALIOGHUSHI VYETI WILAYA YA TUNDURU

Image

RATIBA YA NUSU FAINALI YA MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM

Image

MANCHESTER UNITED YAPATA PIGO

Image
Manchester United huenda ikapata pigo kubwa zaidi kwa mchezaji wake Zlatan Ibrahimovic ambaye ameonekana kuwa tegemeo katika ufungaji magoli ndani ya timu hiyo. Kwa mujibu wa ESPN imeripoti kuwa kuna uwezekano mchezaji huyo asionekane uwanjani tena mpaka Januari mwakani, kutokana na majereha aliyoyapata usiku wa Alhamisi katika mechi ya ligi ya Europa, waliyocheza dhidi ya Anderlecht. Katika mechi hiyo, Ibrahimovic alitolewa nje na kushindwa kuendelea na mchezo huo katika dakika ya 90, baada ya kuumia mguu wake wa kulia alipotua chini baada ya kuruka juu. Mkataba wa mchezaji huyo na Man United unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu huku timu ya LA Galaxy inayocheza ligi kuu ya Marekani, ikionekana kutamani kumsajili mchezaji huyo.

WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA UONGOZI WA KLABU YA SIMBA

Image
Waziri wa Habari,Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa klabu ya Simba nchini. Waziri Mwakyembe ameonana na uongozi huo ofisi kwake mjini Dodoma, Ukiongozwa na Rais wa klabu hiyo, Evans Maveva ambapo uongozi huo umetii wito wa Mheshimiwa Mwakyembe, ili kujadili mambo mbalimbali yanayohusu mpira wa miguu, zikiwemo fursa na changamoto katika uendeshaji wa timu. Pamoja na hayo, Waziri Mwakyembe amepokea maoni ya uongozi wa Simba na kushauri kuendelea kutoa ushirikiano kwa wadau wa mpira wa miguu nchini.

Simba Yapewa Alama Tatu Za Mezani Dhidi Ya Kagera Sugar

Image