WAMBURA AWEKWA KIKAANGONI TFF


Kamati ya maadili ya TFF imekutana leo Machi 14, 2018 pamoja na mambo mengine kujadili suala la Makamu wa Rais wa Shirikisho hilo, Michael Wambura, aliyefikishwa kwenye kamati kwa makosa matatu.

 Kwa mujibu wa Afisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo, amesema kuwa kosa la kwanza analokabiliwa nalo Wambura ni kupokea fedha za TFF. Pili, malipo yasiyo halali na tatu ni kugushi  barua na kushusha hadhi ya TFF.

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YATAMBA KUENDELEZA REKODI YAO LEO

SINEMA YA CUF NA PROF LIPUMBA YAFIKIA PATAMU