SAKHO ATUA CRYSTAL PALACE KWA MKOPO






Klabu ya Crystal Palace ambayo inashiriki ligi kuu ya Uiengereza imekamilisha usajili wa beki Mamadou Sakho kutoka klabu ya Liverpool.



Mamadou Sakho amejiunga na Crystal Palace kwa mkopo mpaka mwishoni mwa msimu akitokea Liverpool.

Comments

Popular posts from this blog

UWANJA WA TAIFA KUFUNGWA CAMERA ZA ULINZI (CCTV)

SIMBA SC YATAMBA KUENDELEZA REKODI YAO LEO