MAYANJA AITOSA SIMBA SC


Kocha Msaidizi wa kikosi cha Simba Jackson Mayanja, leo amefikia uamuzi wa kujiuzulu nafasi yake kutokana na kuitaji muda zaidi wakwenda kushughulikia mambo ya kifamilia.

Uongozi wa Simba umemruhusu kuweza kwenda kutatua matatizo ya kifamilia lakini pia imempatia baraka zote na kumtakia kila la kheri katika kazi yake ya kufundisha soka.

Comments

Popular posts from this blog

UWANJA WA TAIFA KUFUNGWA CAMERA ZA ULINZI (CCTV)

SIMBA SC YATAMBA KUENDELEZA REKODI YAO LEO