MKUU WA WILAYA TUNDURU AKIFUNGIA CHUO
Na Hussein Mkuwia.
Mkuu wa wilaya ya Tunduru Juma Homera, akifungia chuo cha VISSION TRAINING GOLLEGE kilichopo wilayani humo.

Homera alifanya ziara ya kushitukiza na kujionea hadha wanayokumbananayo wanafunzi wa chuo hicho ikiwemo kutosajiriwa kwa cho hicho katika mamlaka zinazotambulika kisheria na kulala chini ndani madarasa yanayotumika kusomea wakati wa mchana.
Hivyo Homera kuagiza chuo hicho kufungwa, kuwarudishia fedha zao wanafunzi hao na kaimu mkuu wa chuo hicho Hassani Muya kukamatwa na jeshi la polisi wilayani hapo.

Comments
Post a Comment