WAZIRI NAPE AVIFUNGIA VITUO VYA RADIO
Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauyeametangaza kuvifungia vituo viwili vya radio kwa muda usiojulikana ambavyo ni Magic Fm ya Dar es salaam na Radio 5 ya Arusha kwa makosa ya kutangaza na kutoa habari za kichochezi.
‘Adhabu hii ya kuvifungia kwa muda vituo hivyo viwili inaanza August 29 2016 hadi pale kamati itakapomaliza kazi yake, kimsingi radio zote mbili kwa pamoja wametangaza na kutoa habari ambazo zina uchochezi ndani yake‘ –Waziri Nape Nnauye

Comments
Post a Comment