SCHNEIDERLIN AJIFUNGA KITANZI EVERTON

Morgan Schneiderlin akisaini kandarasi ya miaka minne kuitumika Everton FC

Kiungo Morgan Schneiderlin hatimaye amejiunga na klabu ya Everton, akitokea Man United kwa ada ya paundi milioni 20 ambayo itapanda hadi paundi milioni 24.
Mfaransa huyo ambaye ana umri wa miaka 27, amesaini mkataba wa miaka minne na nusu ambao utamalizika mwaka 2021, Schneiderlin ameungana na kocha wake wa zamani Ronald Koeman.

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YATAMBA KUENDELEZA REKODI YAO LEO

SINEMA YA CUF NA PROF LIPUMBA YAFIKIA PATAMU