WATU WAWILI WAUWAWA TUNDURU

Na Hussein Mkuwia.

Watu wawili wamefariki dunia katika majibizano ya risasi kati ya polisi na watu hao katika kijiji cha Nangunguru, kata ya Nandembo Tarafa ya Nampungu Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma
 Watu wawili wamefariki dunia katika majibizano ya risasi kati ya polisi na watu hao katika kijiji cha Nangunguru, kata ya Nandembo Tarafa ya Nampungu Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Gemini Mushi, polisi hao wakiwa katika majukumu mbalimbali ya ulinzi wa raia na mali zao katika kijiji cha Nangurukuru walikutana na watu wakiwa kwenye pikipiki walijaribu kuwasimamisha walikaidi amri na kuanza kurusha risasi.

Kamanda Mushi amesema kuwa polisi kwa kutumia mbinu za medani walifanikiwa kuwashinda watu na hao na kuwapiga risasi na kufa papo hapo, ambapo walikutwa na bunduki aina SR pamoja na risasi 41 zinazotumiaka na silaha h
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Gemini Mushi, polisi hao wakiwa katika majukumu mbalimbali ya ulinzi wa raia na mali zao katika kijiji cha Nangurukuru walikutana na watu wakiwa kwenye pikipiki walijaribu kuwasimamisha walikaidi amri na kuanza kurusha risasi.

Kamanda Mushi amesema kuwa polisi kwa kutumia mbinu za medani walifanikiwa kuwashinda watu na hao na kuwapiga risasi na kufa papo hapo, ambapo walikutwa na bunduki aina SR pamoja na risasi 41 zinazotumiaka na silaha hiyo.

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YATAMBA KUENDELEZA REKODI YAO LEO

VIWANDA VYA KOROSHO KUJENGWA NCHINI