KIATU MAALUM CHA PAUL POGBA KUELEKEA MECHI YA MANCHESTER DERBY WEEKEND HII

Tokeo la picha la pogbaKampuni ya vifaa vya michezo ya Ujerumani ADIDAS imetuonyesha kiatu atakachovaa staa wa soka wa Man Utd Paul Pogba kwenye mechi yao na Man City MANCHESTER DERBY  weedend hii.
ADIDAS wanadhamini mavazi ya michezo ya Paul Pogba wametengeneza kiatu maalum kwa ajili wa mchezaji wao.
Kiatu hichi ni  “Adidas ACE16 + Purecontrol Viper Pack”.
a12 a13 a14
adidasfootball_ViperPack_Ace_01 adidasfootball_ViperPack_Ace_02 adidasfootball_ViperPack_X_01 adidasfootball_ViperPack_X_02

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YATAMBA KUENDELEZA REKODI YAO LEO

SINEMA YA CUF NA PROF LIPUMBA YAFIKIA PATAMU