MESSI KUKAA NJE YA UWANJA SIKU 21

FC Barcelona ambao walikuwa katika uwanja wao wa nyumbani walipata pigo katika mchezo huo ambapo mchezaji wao tegemeo Lionel Messi aliumia mguu wake wa kulia dakika ya 51 na kutolewa nje na nafasi yake kuchuliwa na Arda Turan.

Septemba 22 2016 taarifa zimetoka Lionel Messi atakaa nje ya uwanja kwa wiki tatu na atakosa michezo sita dhidi ya Sporting Gijon, Gladbach, Celta Vigo, Deportivo la Coruna na anatazamiwa kuwa fiti katika mchezo wa UEFA Champions League dhidi ya Man City October 19 2016.

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YATAMBA KUENDELEZA REKODI YAO LEO

SINEMA YA CUF NA PROF LIPUMBA YAFIKIA PATAMU