THOMAS MASHALI AFARIKI DUNIA

Tokeo la picha la thomas mashali
Bondia nguli wa ngumi za kulipwa nchini Thomas Mashali maarufu kama Simba asiyefugika amefariki dunia usiku wa kuamkia leo juma tatu october 31,2016 kwa kushambuliwa na watu wasiojulikana maeneo ya Kimara jijini Dar es Salaam.
Inaelezwa kuwa, Mashali alishambuliwa na watu wasiojulikana na kumuita mwizi, mwili wake uliokotwa vichakani huko maeneo ya Kimara na kufikishwa hospitali ya muhimbili na ndipo umauti ulipomkuta.
Taarifa zaidi zitakujia kadiri zitakavyotufikia

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YATAMBA KUENDELEZA REKODI YAO LEO

AZAM FC,SIMBA SC ZAFANYA KUFURU USAJILI DIRISHA DOGO