BREAKING NEWS: TANZIA, JOSEPH MUNGAI AFARIKI DUNIA

Tokeo la picha la joseph mungai

Joseph Mungai ambaye aliwahi kuwa waziri wa elimu sayansi na teknolojia amefariki dunia jioni ya leo novemba 8 katika hospitali ya taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu.

Tautaendelea kuwajulisha kadri taarifa zitakavyotufikia.

Comments

Popular posts from this blog

UWANJA WA TAIFA KUFUNGWA CAMERA ZA ULINZI (CCTV)

SIMBA SC YATAMBA KUENDELEZA REKODI YAO LEO