HIKI NDICHO KILICHOMPA RONALDO TUZO YA MARCA YA MCHEZAJI BORA LA LIGA

Cristiano Ronaldo rekodi za 2015-16

1. La Liga -Magoli 35 na pasi za magoli 11
2. Ligi ya mabingwa-magoli 16
3. Uefa Euro Magoli 3 muhimu
4. Ubingwa wa Uefa Champions League kwa Real Madrid tena akiwa mchezaji muhimu.
5. Ubingwa wa Uefa Euro 2016

*Vigezo hivi ndivyo Jarida la Marca wameona Ronaldo alistahili kuwa mchezaji bora wa Hispania kwa msimu uliopita na wamempa tuzo ya Alfredo De Stefano.

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YATAMBA KUENDELEZA REKODI YAO LEO

SINEMA YA CUF NA PROF LIPUMBA YAFIKIA PATAMU