DIRISHA DOGO LA USAJIRI VPL KUFUNGULIWA NOVEMBER 15, 2016
Wakati Ligi kuu soka Tanzania Bara ikiingia ukiongoni kwa nusu msimu, TFF inatoa wito kwa timu kuajiandaa na dirisha dogo la usajili linalotarajiwa kufunguliwa Novemba 15, mwaka huu kusajili wachezaji mahiri na halari ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mwendelezo wa ligi hiyo nusu yapili ya msimu utakaoanza baadaye Desemba mwaka huu.
Wakati wa usajili wa dirisha dogo ndipo michuano ya hatua ya awali ya kuwania Kombe la Shirikisho la Azam 2016/2017 inatarajiwa kuanza Novemba 19, mwaka huu ambako pia imepangwa kuzinduliwa kwa michuano hiyo huko mkoani Mara.
Safari hii timu shiriki zimeongezwa mabingwa wa mikoawa mwaka jana hivyo kufikisha idadi ya timu 86 badala ya 64 za msimu ulioipita,Imechukuliwa mikoa 22 baada ya ile mitano, kupanda Daraja kucheza Ligi Daraja la Pili msimu huu ambayo imeendelea kushika kasi.
Comments
Post a Comment