ARSENAL YAPIGWA NYUMBANI KOMBE LA LIGI ENGLAND



Kocha Mfaransa wa Arsenal, Arsene Wenger akiufuatilia kwa hasira mchezo wa Robo Fainali Kombe la Ligi England dhidi ya Southampton iliyoshinda 2-0 usikju wa jana Uwanja wa Emirates, mabao ya Jordy Clasie na Ryan Bertrand, yanayoipeleka Nusu Fainali timu hiyo ambako watamenyana na Liverpool.

Tokeo la picha la arsenal vs southmpton

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YATAMBA KUENDELEZA REKODI YAO LEO

SINEMA YA CUF NA PROF LIPUMBA YAFIKIA PATAMU