"SINA MPANGO NA SOKA LA CHINA" - ZLATAN IBRAHIMOVIC



Mchezaji wa klabu ya Manchester United, Zlatan Ibrahimovic pamekuwa na taarifa zinasema kuwa amezikatalia klabu za nchini China, hizi ni zile klabu ambazo zimekuwa na nia ya kumsajili akakipige kule kwao.

Uongozi wa Manchester United umejipanga kuzungumza na mchezaji huyo ambaye saivi anamagoli 12 katika ligi ya EPL ili kumuongezea mkataba mpya wa kuendelea kubakia United.

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YATAMBA KUENDELEZA REKODI YAO LEO

SINEMA YA CUF NA PROF LIPUMBA YAFIKIA PATAMU