MANCHESTER UNITED YASONGA MBELE KOMBE LA LIGI ENGLAND

Mshambuliaji wa Mancher United Wayne Rooney akigombea mpira na mlinzi wa Westham United wakati manchester ikipata ushindi wa mabao 4-1 katika kombe la Ligi nchini England jana. 

Nahodha wa Manchester United akitokw damu baada ya kuumia kufuatia kuchezewa rafu na beki wa West Ham United  Winston Reid i usiku wa jana katika mchezo wa Robo Faainali Kombe la Ligi England Uwanja wa Old Trafford. United ilishinda 4-1

Wayne rooney akionekana na jeraha baada ya kukumbana na kashikashi ya mlinzi wa Westham United jana.

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YATAMBA KUENDELEZA REKODI YAO LEO

SINEMA YA CUF NA PROF LIPUMBA YAFIKIA PATAMU