MAJIMAJI YASAJILI MLINZI MAHILI KUTOKA SIMBA SC KWA MKOPO

Tokeo la picha la Emanuel simwanza
Simwanza kulia akiwania mpira
Kufuatia kukosa nafasi katika kikosi cha kwanza cha Simba, beki Emmanuel Simwanza ametolewa kwa mkopo katika klabu ya Majimaji.
Semwanza alisajiliwa mwanzoni mwa msimu huu akitokea klabu ya Mwadui lakini alishindwa kabisa kupata nafasi ya kucheza kutokana ushindani wa namba katika kikosi cha Simba.
Wakati huo, Majimaji wameshindwa kupata saini ya kiraka Mbuyu Twite licha ya awali kuwa katika nafasi nzuri ya kukamilisha mipango hio.
Inadaiwa Twite alighairi dakika za mwisho na kushindwa kutokea kufanya mazungumzo ya kuhimitisha mpango wa kuhamia Majimaji.

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YATAMBA KUENDELEZA REKODI YAO LEO

SINEMA YA CUF NA PROF LIPUMBA YAFIKIA PATAMU