SOUTHGATE ASAINI KANDARASI YA MIAKA MINNE ENGLAND

3ae38f9300000578-3985312-image-m-3_1480518939219

Hatiamye Gareth Southgate ameteuliwa rasmi kuwa kocha wa England katika mkataba wa kudumu. Southgate mwenye umri wa miaka 46 aliwacha wadhfa wake kama mkufunzi wa timu ya England ya vijana wasiozidi miaka 21 mnamo mwezi Septemba baada ya aliyekuwa meneja wa Uingereza Sam Allardyce kujiuzulu baada ya kuhudumu kwa siku 67 pekee.

Amesaidia Uingereza kushinda mara mbili pamoja na sare mbili akiwa kama kaimu mkufunzi na sasa ametia saini mkataba wa miaka minne wenye thamani ya pauni milioni 2 kwa mwaka.
”Nimefurahia sana kushirikiana na wachezaji katika mechi nne na dhani kuna vipaji vingi”, alisema.

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YATAMBA KUENDELEZA REKODI YAO LEO

SINEMA YA CUF NA PROF LIPUMBA YAFIKIA PATAMU