WAANDISHI WA HABARI MKOANI RUVUMA WAPATA AJALI

POLENI WAANDISHI WA HABARI NA MSAFARA WOTE KWA UJUMLA KWA KUPATA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA NYASA.WALIOKUMBWA NA KADHIA HIYO NI Joseph Mwambije wa ITV, Emmanuel Msigwa wa AZAM TV, Adam Nindi wa STAR TV,Noela Njawa wa TBC na Amon Mtega wa gazeti la Mtanzania, ILA M/MUNGU YU PAMOJA NANYI AWAJAALIE AFYA NJEMA. AJALI KAZINI M/MUNGU ATUPE MOYO WA UJASIRI TUENDELEE KULITUMIKIA TAIFA LETU

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YATAMBA KUENDELEZA REKODI YAO LEO

SINEMA YA CUF NA PROF LIPUMBA YAFIKIA PATAMU