RIYAD MAHREZ ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA BBC BARANI AFRIKA

m2
Baada ya kucheza vizuri msimu uliopita na kusaidia club yake kushinda ubingwa wa England bila shaka Mahrez anasthili kushinda tuzo hii ya BBC African Player of the Year.
Mchakato huu uliwahusisha wachezaji wengi lakini hadi mwisho walibaki wachezaji kama Aubameyang, Aye, Mane na Yaya Toure. Baada ya kukabidhiwa tuzo hiyo Mahrez alisema,Hii tuzo ina maana kubwa kwangu na kwa Africa nzima pamoja na wachezaji wote. Ninajivunia sana kwa nilichokifanya, ni vizuri siku zote kupokea tuzo kama hii hasa ikiwa ni maalum kwa wachezaji wa Africa. Hii ni changamoto kwangu kuendelea kucheza mpira na kuona kipi nitafanya zaidi”.
Mwaka jana mshindi alikua ni Yaya Toure, 2014 alishinda Yacine Brahimi, 2013 – Yaya Toure, 2012 Christopher Katongo, 2011 Andre Ayew.

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YATAMBA KUENDELEZA REKODI YAO LEO

SINEMA YA CUF NA PROF LIPUMBA YAFIKIA PATAMU