MAES AFUNGASHIWA VIRAGO KRC GENK

Picha inayohusiana

Uongozi wa klabu ya KRC Genk hatiamaye umeamua kumtimua kazi kocha wake Peter Maes kwa kuwa na matokeo mabaya ambayo yalikuwa yakizidi kuporomoka.Taarifa kutoka kwenye mtandao wa klabu hiyo inaeleza kuwa chanzo ni kupata matokeo mabaya ndio mana wakaamua kusitishwa kwa ajira ya kocha huyo aliyejiunga na Genk msimu uliopita.

Jupiler Rudi Cossey ambaye ni kocha msaidizi atabeba majukumu ya uongozi wa benchi la ufundi kwa muda huku wakiendelea kutafuta kocha mwingine.

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YATAMBA KUENDELEZA REKODI YAO LEO

SINEMA YA CUF NA PROF LIPUMBA YAFIKIA PATAMU