MBAO FC WAPATA MDHAMINI

(Picha kwa hisani ya bin zubeiry)

Mhasibu Mkuu wa Hawaii Products Supplies, Said Khamis (kushoto) akimkabidhi Mwenyekiti wa Mbao FC ya Mwanza, Solly Zephania Njashi (kulia) jezi ye nembo ya maziwa ya Cowbell yanayozalishwa na kampuni hiyo baada ya kusaini mkataba wa udhamini wa miezi sita kumalizia Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo mjini Dar es Salaam.

Njashi (katikati) akisaini mkataba huo pzmoja na Maofisa Hawaii Products Supplies, Said Khamis (kushoto) na Meneja Masoko, Erisalia Ndeta leo Dar es Salaam. (Picha kwa hisani ya bin zubiery) 
Hawaii imeahidi kuongeza mkataba mrefu na mnono iwapo Mbao FC itafanikiwa kubaki Ligi Kuu mwishoni mwa msimu

Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YATAMBA KUENDELEZA REKODI YAO LEO

SINEMA YA CUF NA PROF LIPUMBA YAFIKIA PATAMU