MTOTO WA ZIDANE (ENZO ZIDANE) AANZA KUNG'ARA HISPANIA
Mtoto wa kocha wa Real Madrid Zinadine Zidane (ZIZOU), Enzo Zidane (kulia) akipongezwa na mwenzeke baada ya kufunga bao lake la kwanza timu hiyo katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Cultural Leonesa kwenye mchezo wa 32 Bora Kombe la Mfalme Hispania, maarufu kama Copa del Rey Uwanja wa Bernabeu.
Mabao mengine ya Madrid yalifungwa na Mariano Diaz matatu, James Rodriguez na Cesar Morgado aliyejifunga. Real inafuzu kwa ushindi wa jumla wa 13-2 baada ya awali kushinda 7-1 ugenini.
![]() |
Enzo Zidane (kulia) akipongezwa na mchezaji mwenzake wa real madrid baada ya kufunga goli dhidi ya Cultural Leonesa na kushinda mabao 6-1 wakiwa nyumbani. |
Mabao mengine ya Madrid yalifungwa na Mariano Diaz matatu, James Rodriguez na Cesar Morgado aliyejifunga. Real inafuzu kwa ushindi wa jumla wa 13-2 baada ya awali kushinda 7-1 ugenini.
Comments
Post a Comment